mpesa_flutter_plugin 1.6.0-beta1 mpesa_flutter_plugin: ^1.6.0-beta1 copied to clipboard
Use this plugin to implement Lipa Na MPESA Online in your flutter app. This only gives you a payment initialization interface.
License
## LESENI
Hii programu imechapishwa na aliyeiandika na wanaochangisha kwa ajili ya matumizi yako(yenu) vile ilivyo.
Kwa njia yoyote ile, mchapishaji hatawajibika kwa hasara yoyote, iwe kupitia matumizi ya programu hii
moja kwa moja au kwa kujumuishwa na vipengee vingine kutoka programu zingine, iwapo itakuwa kwa njia ya
kupoteza pesa, data, faida ama kwa kusitishwa kwa biashara kutokana na hitilafu zitakazotokana na
matumizi yake.
Kwa jumla, unapewa rukhsa ya kuitumia programu hii kwa njia yoyote ile itakayokufaidi, lakini iwe
wazi kwamba mchapishaji hatawajibika kwa lolote litakalotokea.
Jibambe nayo.