mpesa_flutter_plugin 1.6.1
mpesa_flutter_plugin: ^1.6.1 copied to clipboard
Use this plugin to implement Lipa Na MPESA Online in your flutter app. This only gives you a payment initialization interface.
License
## LESENI Hii programu imechapishwa na aliyeiandika na wanaochangisha kwa ajili ya matumizi yako(yenu) vile ilivyo. Kwa njia yoyote ile, mchapishaji hatawajibika kwa hasara yoyote, iwe kupitia matumizi ya programu hii moja kwa moja au kwa kujumuishwa na vipengee vingine kutoka programu zingine, iwapo itakuwa kwa njia ya kupoteza pesa, data, faida ama kwa kusitishwa kwa biashara kutokana na hitilafu zitakazotokana na matumizi yake. Kwa jumla, unapewa rukhsa ya kuitumia programu hii kwa njia yoyote ile itakayokufaidi, lakini iwe wazi kwamba mchapishaji hatawajibika kwa lolote litakalotokea. Jibambe nayo.
copied to clipboard